business license fees charged by iringa municipal...

4
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA, MANISPAA YA MOROGORO TARATIBU ZA UTOAJI WA VIBALI VYA UJENZI NA USIMAMIZI WA UJENZI WA MAJENGO KWENYE MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MARCH 2019 UTANGULIZI Kibali cha ujenzi (building permit) ni nyaraka ya kisheria inayotolewa na Mamlaka za Upangaji Miji ambazo ni Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuruhusu ujenzi mpya, kubomoa, kuondosha, kuongeza, au kufanya marekebisho makubwa. Kufanya hivyo kutasaidia kurekebisha kasoro zinazoweza kuathiri uimara wa jengo na mifumo mingine ya maji safi na taka, tahadhari za moto, umeme, usalama wa jamii na uharibifu au uchafuzi wa mazingira. Taratibu hizi zinahusu utoaji wa vibali vya ujenzi wa majengo na usimamizi kwa kuzingatia Sera ya ugatuaji wa madaraka kwa wananchi; Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Makazi ya Mwaka 2000; Sera ya Ardhi ya Mwaka 1995, Sera ya Taifa ya Ujenzi ya Mwaka 2003 na Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 1997. Kwa mujibu wa kanuni za Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji na udhibiti Uendelezaji, sura 288 ya mwaka 2008); ujenzi wowote ndani ya Mamlaka za upangaji ambazo ni Mamlaka za Miji, Halmashauri za Miji, Manispaa na Majiji ni lazima upate kibali cha ujenzi kutoka kwenye Mamlaka husika. Aidha, kwa mujibu wa kifungu cha 35(i) cha Sheria ya Mipango miji Na.8 ya mwaka 2007, Mamlaka ya Upangaji inatakiwa kutoa kibali cha ujenzi katika kipindi kisichozidi siku 60. Lakini, kutokana na changamoto na mapungufu yaliyoonekana kutoka kwenye tathmini ya taratibu za usimamizi wa vibali vya ujenzi, TAMISEMI ilitoa muongozo wa mwezi Machi 2018 wa utoaji wa vibali vya ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa majengo. Muongozo huo unazitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kutoa vibali vya ujenzi ndani ya kipindi cha kati ya siku saba na mwezi mmoja. SHERIA, KANUNI NA MIONGOZO Sheria, Kanuni na Miongozo mbalimbali hutumika katika kusimamia utoaji wa vibali vya ujenzi wa majengo katika Manispaa ya Morogoro kama ifuatavyo:- i. Sheria za Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji na Vijiji) za Mwaka 1982 na zilizofanyiwa mapitio Mwaka 2002 na kanuni 242 ya mwaka 2008 – Inatoa maelezo ya uundaji wa Kamati za Kudumu za Usimamiaji wa Uendelezaji wa Miji ii. Sheria ya Mipango Miji Namba 8 ya Mwaka 2007- Inaipa Mamlaka ya Upangaji/Manispaa uwezo wa kutoa au kutokutoa idhini ambapo hakuna maendeleo yatakayofanyika ndani ya Manispaa bila kupata idhini hiyo. iii. Sheria ya Ardhi Na. 4 ya Mwaka 1999 – inaelekeza namna ya kumiliki ardhi iv. Sheria za Usimamizi wa Mazingira Na.20 ya Mwaka 2004-inatoa tamko kuwa ndani ya upana wa mita sitini (60) wa ardhi ya akiba hakutafanyika shughuli yoyote ya binadamu ya kudumu au ambayo kwa asili yake inaweza kuhatarisha au kuathiri usalama wa mazingira. v. Sheria ya Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Na.14 ya Mwaka 2007 - kila jengo la ghorofa lenye urefu wa zaidi ya mita 12 kutoka ardhini au linalounganisha sehemu ya nyumba au jengo la mita za mraba 2000 linatakiwa kuwa na mahitaji yafuatayo:- a. Eneo la kutosha kuepusha janga la moto kuelekea kwenye paa la jengo, barabara na eneo la wazi linalounganisha b. Viashiria vya moto na mifumo ya kubaini majanga ya moto c. Njia nyingine za dharura za kuepuka majanga ya moto d. Kila jengo lenye sakafu zaidi ya mita 24 kutoka usawa wa ardhi kila chumba na kumbi lazima viwekewe automatic kifaa cha kuzima moto. vi. Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 - inaelekeza yafuatayo:- a. Jengo haliruhusiwi kujengwa bila kuwasilisha michoro yenye viwango stahiki kwa ajili ya kuchunguzwa kuona iwapo imekidhi mahitaji ya kiafya ilikuweza kuidhinishwa na Manispaa b. Majengo ya makazi ya mijini yaliyoko kwenye maeneo ya mpango wa uboreshaji wa makazi holela hayatakuwa na masharti ya uidhinishwaji yaliyobainishwa hapo juu. UTARATIBU WA KUTOA VIBALI VYA UJENZI KATIKA MANISPAA YA MOROGORO Ujenzi wowote katika Manispaa ya Morogoro lazima upate kibali cha ujenzi kwa kufuata taratibu zifuatazo:- a. Kutuma maombi kwa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro b. Kuwasilisha michoro ya jengo na kumbukumbu husika c. Kupata kibali kwa maandishi kinachoitwa “kibali cha ujenzi”

Upload: others

Post on 16-Jul-2020

59 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: BUSINESS LICENSE FEES CHARGED BY IRINGA MUNICIPAL …morogoromc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/Vibali vya Ujenzi.pdf · Quantity Surveyor Local 300,000/= 200,000/= Foreign

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA, MANISPAA YA MOROGORO

BUSINESS CATEGORY BUSINESS DESCRIPTION FEE FOR PRINCIPAL LICENCE FEE FOR SUBSIDIARY LICENCE

1. Clearing & Forwarding 3. Warehousing 300,000/= New 150,000/= New

2. Telecommunication Business 4. Attended telephone o�cers 200,000/= 100,000/=

3. Processing and Manufacturing of goods and Selling 1. Small scale Industry 100,000/= 50,000/=

4. Lotteries, Games and Amusement 4. Entertainment Halls 300,000/= 200,000/=

5. Non Tourists Business Hotel 1. With Liquor License 100,000/= 100,000/=

Plus 1,500/= Plus 1,500/=

Per bedroom Per bedroom

2. Without Liquor license 80,000/= 80,000/=

Plus 2,000/= Plus 2,000/=

Per bedroom Per bedroom

3. Lodging Houses 100,000/= 100,000/=

Plus Tshs. 2,000/= Plus Tshs. 2,000/=

Per bedroom Per bedroom

4. Catering Services

Take away 100,000/= 50,000/=

Mobile Catering 100,000/= 50,000/=

Restaurant 100,000/= 80,000/=

6. Regional Trading Companies City/Municipal Town 100,000/= 100,000/=

7. Cooperative Societies 40,000/= 20,000/=

8. Building Contractors 1. Building society 100,000/= 100,000/=

2. Contractor Class I 1,000,000/= 800,000/=

3. Contractor Class II 800,000/= 750,000/=

4. Contractor Class III 700,000/= 700,000/=

5. Contractor Class IV 650,000/= 650,000/=

6. Contractor Class V 500,000/= 500,000/=

7. Contractor Class VI 400,000/= 400,000/=

8. Contractor Class VII 300,000/= 200,000/=

All Foreign – Owned 20,000/= USD 10,000/= USD

9. Speci�ed Profession 1. Business consultancy

Local 200,000/= 200,000/=

Foreign Owned 2,000 USD 1,000 USD

2. Lawyer

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 5,000 USD 2,500 USD

3. Tax practitioner

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

4. Quantity Surveyor

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

5. Engineers

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

6. Auditor/Accountant

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

7. Medical Practitioner

Local 150,000/= 150,000/=

Foreign 1,000 USD 1,000 USD

8. Any other consultancy

Local 200,000/= 100,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 2,000 USD

9. If employees of government, NIL NIL

Parastatal Organization

Religious owned, institution or

Private companies

BUSINESS LICENSE FEES CHARGED BY IRINGA MUNICIPAL COUNCIL

TARATIBU ZA UTOAJI WA VIBALI VYA UJENZI NA USIMAMIZI WA UJENZI WA MAJENGO KWENYE MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MARCH 2019

UTANGULIZI

Kibali cha ujenzi (building permit) ni nyaraka ya kisheria inayotolewa na Mamlaka za Upangaji Miji ambazo ni Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuruhusu ujenzi mpya, kubomoa, kuondosha, kuongeza, au kufanya marekebisho makubwa. Kufanya hivyo kutasaidia kurekebisha kasoro zinazoweza kuathiri uimara wa jengo na mifumo mingine ya maji safi na taka, tahadhari za moto, umeme, usalama wa jamii na uharibifu au uchafuzi wa mazingira.

Taratibu hizi zinahusu utoaji wa vibali vya ujenzi wa majengo na usimamizi kwa kuzingatia Sera ya ugatuaji wa madaraka kwa wananchi; Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Makazi ya Mwaka 2000; Sera ya Ardhi ya Mwaka 1995, Sera ya Taifa ya Ujenzi ya Mwaka 2003 na Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 1997.

Kwa mujibu wa kanuni za Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji na udhibiti Uendelezaji, sura 288 ya mwaka 2008); ujenzi wowote ndani ya Mamlaka za upangaji ambazo ni Mamlaka za Miji, Halmashauri za Miji, Manispaa na Majiji ni lazima upate kibali cha ujenzi kutoka kwenye Mamlaka husika.

Aidha, kwa mujibu wa kifungu cha 35(i) cha Sheria ya Mipango miji Na.8 ya mwaka 2007, Mamlaka ya Upangaji inatakiwa kutoa kibali cha ujenzi katika kipindi kisichozidi siku 60. Lakini, kutokana na changamoto na mapungufu yaliyoonekana kutoka kwenye tathmini ya taratibu za usimamizi wa vibali vya ujenzi, TAMISEMI ilitoa muongozo wa mwezi Machi 2018 wa utoaji wa vibali vya ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa majengo. Muongozo huo unazitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kutoa vibali vya ujenzi ndani ya kipindi cha kati ya siku saba na mwezi mmoja.

SHERIA, KANUNI NA MIONGOZO Sheria, Kanuni na Miongozo mbalimbali hutumika katika kusimamia utoaji wa vibali vya ujenzi wa majengo katika Manispaa ya Morogoro kama ifuatavyo:-

i. Sheria za Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji na Vijiji) za Mwaka 1982 na zilizofanyiwa mapitio Mwaka 2002 na kanuni 242 ya mwaka 2008 – Inatoa maelezo ya uundaji wa Kamati za Kudumu za Usimamiaji wa Uendelezaji wa Miji

ii. Sheria ya Mipango Miji Namba 8 ya Mwaka 2007- Inaipa Mamlaka ya Upangaji/Manispaa uwezo wa kutoa au kutokutoa idhini ambapo hakuna maendeleo yatakayofanyika ndani ya Manispaa bila kupata idhini hiyo.

iii. Sheria ya Ardhi Na. 4 ya Mwaka 1999 – inaelekeza namna ya kumiliki ardhi

iv. Sheria za Usimamizi wa Mazingira Na.20 ya Mwaka 2004-inatoa tamko kuwa ndani ya upana wa mita sitini (60) wa ardhi ya akiba hakutafanyika shughuli yoyote ya binadamu ya kudumu au ambayo kwa asili yake inaweza kuhatarisha au kuathiri usalama wa mazingira.

v. Sheria ya Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Na.14 ya Mwaka 2007 - kila jengo la ghorofa lenye urefu wa zaidi ya mita 12 kutoka ardhini au linalounganisha sehemu ya nyumba au jengo la mita za mraba 2000 linatakiwa kuwa na mahitaji yafuatayo:-

a. Eneo la kutosha kuepusha janga la moto kuelekea kwenye paa la jengo, barabara na eneo la wazi linalounganisha

b. Viashiria vya moto na mifumo ya kubaini majanga ya moto

c. Njia nyingine za dharura za kuepuka majanga ya moto

d. Kila jengo lenye sakafu zaidi ya mita 24 kutoka usawa wa ardhi kila chumba na kumbi lazima viwekewe automatic kifaa cha kuzima moto.

vi. Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 - inaelekeza yafuatayo:-

a. Jengo haliruhusiwi kujengwa bila kuwasilisha michoro yenye viwango stahiki kwa ajili ya kuchunguzwa kuona iwapo imekidhi mahitaji ya kiafya ilikuweza kuidhinishwa na Manispaa

b. Majengo ya makazi ya mijini yaliyoko kwenye maeneo ya mpango wa uboreshaji wa makazi holela hayatakuwa na masharti ya uidhinishwaji yaliyobainishwa hapo juu.

UTARATIBU WA KUTOA VIBALI VYA UJENZI KATIKA MANISPAA YA MOROGOROUjenzi wowote katika Manispaa ya Morogoro lazima upate kibali cha ujenzi kwa kufuata taratibu zifuatazo:-

a. Kutuma maombi kwa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

b. Kuwasilisha michoro ya jengo na kumbukumbu husika

c. Kupata kibali kwa maandishi kinachoitwa “kibali cha ujenzi”

Page 2: BUSINESS LICENSE FEES CHARGED BY IRINGA MUNICIPAL …morogoromc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/Vibali vya Ujenzi.pdf · Quantity Surveyor Local 300,000/= 200,000/= Foreign

MALIPO YA ADA ZA UKAGUZI WA MICHORO, RAMANI NA ADA ZA VIBALI VYA UJENZI

Muombaji atalipia ada za ukaguzi wa michoro ya ujenzi na ada ya kibali cha ujenzi. Ada hizi zinazingatia ukubwa wa jengo, matumizi ya kiwanja husika, aina ya jengo na ujazo wa kiwanja. Ada hizi hazitarudishwa pale maombi ya kibali yatakapokataliwa na zilipwe kwa pamoja wakati wa kuwasilisha nyaraka za maombi ya kibali cha ujenzi.

JINSI YA KUWASILISHA MAOMBI YA KIBALI CHA UJENZI Baada ya michoro kukamilika iwasilishwe ikiwa kwenye majalada kwa namna ambayo inaweza kufunguliwa na kusomeka. Michoro iwasilishwe kama ifuatavyo:

i. Nakala/seti tatu za michoro ya jengo (architectural drawing) iwe kwenye karatasi ya ukubwa wa A3

ii. Nakala /seti mbili za michoro ya vyuma /mhimili (structural drawings) kwa michoro ya ghorofa iwe kwenye karatasi ya ukubwa wa A3

NB: Kama ni jengo la ghorofa mwombaji atawasilisha pia report ya udongo (Geotechnical report)

MICHORO ILIYOANDALIWA IONYESHE MAMBO YA YAFUATAYO;

1. Namna jengo litakavyokuwa (plans, section, elevations foundation and roof plan)

2. Namba na eneo la kiwanja kilichopo

3. Jina la mmilikaji ardhi inayohusika

4. Jina la mchoraji, ujenzi na anwani

5. Ukubwa wa jengo kwa mita za mraba

6. Upana wa eneo (plot coverage)

7. Uwiano (plot ration)

8. Matumizi yanayokusudiwa

9. Idadi ya maegesho yatakayokuwepo

10. Umbali wa jengo kutoka kwenye mipaka ya kiwanja (setbacks)

11. Mfumo wa kutoa maji taka hadi kwenye mashimo

VIAMBATANISHO

1. Fomu za maombi zilizojazwa kwa usahihi

2. Hati ya mmiliki wa kiwanja au barua ya toleo

3. Kumbukumbu nyingine zinazohusu kiwanja hicho kama vile hati za mauziano, makubaliano n.k

4. Nakala za risiti ya kodi ya kiwanja na kodi ya majengo

5. Mabadiliko ya matumzi ya ardhi

HATUA ZINAZOFUATWA KATIKA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA KIBALI CHA UJENZI

1. Uhakika wa miliki

2. Kukaguliwa usanifu wa michoro

3. Kukagua kiwanja kinachokusudiwa kuendelezwa

4. Uchunguzi wa matumizi ya jengo au uwiano

5. Uchunguzi wa maafisa wa afya

6. Uchunguzi wa muundo wa uondoaji maji taka

7. Uchunguzi wa tahadhari za moto

8. Uchunguzi wa uimara wa jengo

9. Kuwasilishwa kwenye kikao cha kamati ndogo ya vibali vya ujenzi baada ya kukamilisha taratibu zote

10. Hatimaye kuandika na kutoa kibali

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA, MANISPAA YA MOROGORO

BUSINESS CATEGORY BUSINESS DESCRIPTION FEE FOR PRINCIPAL LICENCE FEE FOR SUBSIDIARY LICENCE

1. Clearing & Forwarding 3. Warehousing 300,000/= New 150,000/= New

2. Telecommunication Business 4. Attended telephone o�cers 200,000/= 100,000/=

3. Processing and Manufacturing of goods and Selling 1. Small scale Industry 100,000/= 50,000/=

4. Lotteries, Games and Amusement 4. Entertainment Halls 300,000/= 200,000/=

5. Non Tourists Business Hotel 1. With Liquor License 100,000/= 100,000/=

Plus 1,500/= Plus 1,500/=

Per bedroom Per bedroom

2. Without Liquor license 80,000/= 80,000/=

Plus 2,000/= Plus 2,000/=

Per bedroom Per bedroom

3. Lodging Houses 100,000/= 100,000/=

Plus Tshs. 2,000/= Plus Tshs. 2,000/=

Per bedroom Per bedroom

4. Catering Services

Take away 100,000/= 50,000/=

Mobile Catering 100,000/= 50,000/=

Restaurant 100,000/= 80,000/=

6. Regional Trading Companies City/Municipal Town 100,000/= 100,000/=

7. Cooperative Societies 40,000/= 20,000/=

8. Building Contractors 1. Building society 100,000/= 100,000/=

2. Contractor Class I 1,000,000/= 800,000/=

3. Contractor Class II 800,000/= 750,000/=

4. Contractor Class III 700,000/= 700,000/=

5. Contractor Class IV 650,000/= 650,000/=

6. Contractor Class V 500,000/= 500,000/=

7. Contractor Class VI 400,000/= 400,000/=

8. Contractor Class VII 300,000/= 200,000/=

All Foreign – Owned 20,000/= USD 10,000/= USD

9. Speci�ed Profession 1. Business consultancy

Local 200,000/= 200,000/=

Foreign Owned 2,000 USD 1,000 USD

2. Lawyer

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 5,000 USD 2,500 USD

3. Tax practitioner

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

4. Quantity Surveyor

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

5. Engineers

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

6. Auditor/Accountant

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

7. Medical Practitioner

Local 150,000/= 150,000/=

Foreign 1,000 USD 1,000 USD

8. Any other consultancy

Local 200,000/= 100,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 2,000 USD

9. If employees of government, NIL NIL

Parastatal Organization

Religious owned, institution or

Private companies

BUSINESS LICENSE FEES CHARGED BY IRINGA MUNICIPAL COUNCIL

Page 3: BUSINESS LICENSE FEES CHARGED BY IRINGA MUNICIPAL …morogoromc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/Vibali vya Ujenzi.pdf · Quantity Surveyor Local 300,000/= 200,000/= Foreign

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA, MANISPAA YA MOROGORO

BUSINESS CATEGORY BUSINESS DESCRIPTION FEE FOR PRINCIPAL LICENCE FEE FOR SUBSIDIARY LICENCE

1. Clearing & Forwarding 3. Warehousing 300,000/= New 150,000/= New

2. Telecommunication Business 4. Attended telephone o�cers 200,000/= 100,000/=

3. Processing and Manufacturing of goods and Selling 1. Small scale Industry 100,000/= 50,000/=

4. Lotteries, Games and Amusement 4. Entertainment Halls 300,000/= 200,000/=

5. Non Tourists Business Hotel 1. With Liquor License 100,000/= 100,000/=

Plus 1,500/= Plus 1,500/=

Per bedroom Per bedroom

2. Without Liquor license 80,000/= 80,000/=

Plus 2,000/= Plus 2,000/=

Per bedroom Per bedroom

3. Lodging Houses 100,000/= 100,000/=

Plus Tshs. 2,000/= Plus Tshs. 2,000/=

Per bedroom Per bedroom

4. Catering Services

Take away 100,000/= 50,000/=

Mobile Catering 100,000/= 50,000/=

Restaurant 100,000/= 80,000/=

6. Regional Trading Companies City/Municipal Town 100,000/= 100,000/=

7. Cooperative Societies 40,000/= 20,000/=

8. Building Contractors 1. Building society 100,000/= 100,000/=

2. Contractor Class I 1,000,000/= 800,000/=

3. Contractor Class II 800,000/= 750,000/=

4. Contractor Class III 700,000/= 700,000/=

5. Contractor Class IV 650,000/= 650,000/=

6. Contractor Class V 500,000/= 500,000/=

7. Contractor Class VI 400,000/= 400,000/=

8. Contractor Class VII 300,000/= 200,000/=

All Foreign – Owned 20,000/= USD 10,000/= USD

9. Speci�ed Profession 1. Business consultancy

Local 200,000/= 200,000/=

Foreign Owned 2,000 USD 1,000 USD

2. Lawyer

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 5,000 USD 2,500 USD

3. Tax practitioner

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

4. Quantity Surveyor

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

5. Engineers

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

6. Auditor/Accountant

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

7. Medical Practitioner

Local 150,000/= 150,000/=

Foreign 1,000 USD 1,000 USD

8. Any other consultancy

Local 200,000/= 100,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 2,000 USD

9. If employees of government, NIL NIL

Parastatal Organization

Religious owned, institution or

Private companies

BUSINESS LICENSE FEES CHARGED BY IRINGA MUNICIPAL COUNCIL

TARATIBU ZA KUFUATWA BAADA YA KUPATA KIBALI CHA UJENZI

Kwa mujibu wa Sheria ya ujenzi mjini, ujenzi wowote ambao umepata kibali unapaswa kukaguliwa kwa kila hatua ya ujenzi. Baada ya kupata kibali cha ujenzi mambo yafuatayo yanapaswa kufanyika:

1. Kutoa notisi ya masaa 48 kabla ya kuanza ujenzi, fomu ya notisi hii utapatiwa unapokabidhiwa kibali cha ujenzi

2. Kujaza fomu ya ukaguzi na kuwasilisha kwenye ofisi ya ujenzi ili hatua hiyo ya ujenzi unayotaka kufanya ukaguliwe

3. Utapatiwa “certificate of occupation” baada ya ujenzi wako kukamilika iwapo tu hatua muhimu za ujenzi zimekaguliwa

FAIDA ZA KUJENGA NYUMBA IKIWA NA KIBALI CHA UJENZI

1. Kuishi kwenye nyumba ambayo imethibitishwa kuwa ni salama

2. Kuwa na mazingira bora kwa kuwa na mji uliopangwa

3. Kuepuka hasara na usumbufu unaoweza kutokea iwapo ujenzi umefanyika bila kibali ikiwa ni pamoja na kushtakiwa mahakamani

4. Kuvunjiwa na kulipa gharama za uvunjaji.

MUHIMU

Malipo yote yafanywe kwa kuzingatia taratibu za fedha, kwa kulipia benki kwa akaunti utakayopatiwa na afisa mratibu wa utoaji wa vibali katika ofisi ya ardhi ujenzi na Manispaa ya Morogoro na kurejesha hati ya malipo kwa afisa husika kwa ajili ya kupatiwa risiti kulingana na malipo husika.

WAJIBU WA MWENDELEZAJI / MUOMBAJI

a. Kuhakikisha kuwa ujenzi unazingatia matakwa ya Sheria, Kanuni na Taratibu

b. Ujenzi wa majengo makubwa hususan majengo ya ghorofa hufanywa na makandarasi na bodi ya usajili wa wakandarasi. Uteuzi wa mkandarasi ni jukumu la mmiliki wa jengo na mtaalamu mshauri.

c. Lazima kulipa ada ya ukaguzi wa michoro ya jengo/majengo kabla ya kuidhinishwa na kulipia ada ya kibali cha ujenzi kabla michoro hiyo haijaidhinishwa.

ADHABU KWA MTU ATAKAYEJENGA BILA KIBALI CHA UJENZI.

Atakaye fanya ujenzi wowote ndani ya Manispaa ya Morogoro bila kibali cha ujenzi, atatozwa faini ya asilimia 2 ya gharama za ujenzi utakaokuwa umefanyika pamoja na kulipia kibali cha ujenzi baada ya tathmini ya gharama zilizotakiwa kulipwa (Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, 2011).

“EPUKA USUMBUFU FUATA SHERIA”“JENGA KWA RAMANI”

Page 4: BUSINESS LICENSE FEES CHARGED BY IRINGA MUNICIPAL …morogoromc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/Vibali vya Ujenzi.pdf · Quantity Surveyor Local 300,000/= 200,000/= Foreign

ADA ZA VIBALI VYA UJENZI KATIKA MANISPAA YA MOROGORO

Kwa kuzingatia Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro za Mwaka 2011.

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA, HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO

BUSINESS CATEGORY BUSINESS DESCRIPTION FEE FOR PRINCIPAL LICENCE FEE FOR SUBSIDIARY LICENCE

1. Clearing & Forwarding 3. Warehousing 300,000/= New 150,000/= New

2. Telecommunication Business 4. Attended telephone o�cers 200,000/= 100,000/=

3. Processing and Manufacturing of goods and Selling 1. Small scale Industry 100,000/= 50,000/=

4. Lotteries, Games and Amusement 4. Entertainment Halls 300,000/= 200,000/=

5. Non Tourists Business Hotel 1. With Liquor License 100,000/= 100,000/=

Plus 1,500/= Plus 1,500/=

Per bedroom Per bedroom

2. Without Liquor license 80,000/= 80,000/=

Plus 2,000/= Plus 2,000/=

Per bedroom Per bedroom

3. Lodging Houses 100,000/= 100,000/=

Plus Tshs. 2,000/= Plus Tshs. 2,000/=

Per bedroom Per bedroom

4. Catering Services

Take away 100,000/= 50,000/=

Mobile Catering 100,000/= 50,000/=

Restaurant 100,000/= 80,000/=

6. Regional Trading Companies City/Municipal Town 100,000/= 100,000/=

7. Cooperative Societies 40,000/= 20,000/=

8. Building Contractors 1. Building society 100,000/= 100,000/=

2. Contractor Class I 1,000,000/= 800,000/=

3. Contractor Class II 800,000/= 750,000/=

4. Contractor Class III 700,000/= 700,000/=

5. Contractor Class IV 650,000/= 650,000/=

6. Contractor Class V 500,000/= 500,000/=

7. Contractor Class VI 400,000/= 400,000/=

8. Contractor Class VII 300,000/= 200,000/=

All Foreign – Owned 20,000/= USD 10,000/= USD

9. Speci�ed Profession 1. Business consultancy

Local 200,000/= 200,000/=

Foreign Owned 2,000 USD 1,000 USD

2. Lawyer

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 5,000 USD 2,500 USD

3. Tax practitioner

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

4. Quantity Surveyor

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

5. Engineers

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

6. Auditor/Accountant

Local 300,000/= 200,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD

7. Medical Practitioner

Local 150,000/= 150,000/=

Foreign 1,000 USD 1,000 USD

8. Any other consultancy

Local 200,000/= 100,000/=

Foreign Owned 3,000 USD 2,000 USD

9. If employees of government, NIL NIL

Parastatal Organization

Religious owned, institution or

Private companies

BUSINESS LICENSE FEES CHARGED BY IRINGA MUNICIPAL COUNCIL

Na. MALI ENEO ADA

1 Nyumba ya Kawaida ya Makazi (Single Storey Residential)

i Nyumba ya kawaida ya kuishi Eneo lisilozidi Mita za Mraba 100 Tshs. 30,000 /=

ii Nyumba ya kawaida ya kuishi Mita za Mraba kati ya100 mpaka 150 Tshs. 45,000 /=

iii Nyumba ya kawaida ya kuishi Mita za Mraba kati ya 150 mpaka 200 Tshs. 60,000 /=

iv Nyumba ya kawaida ya kuishi Eneo linalozidi Mita za Mraba 200, kwa kila Mita ya Mraba inayozidi Tshs. 300 /=

2 Nyumba ya Kawaida ya Biashara (Single Storey Commercial)

i Nyumba ya kawaida ya biashara Eneo lisilozidi Mita za Mraba 100 Tshs. 45,000 /=

ii Nyumba ya kawaida ya biashara Mita za Mraba kati ya100 mpaka 150 Tshs. 65,000 /=

iii Nyumba ya kawaida ya biashara Mita za Mraba kati 150 mpaka 200 Tshs. 90,000 /=

iv Nyumba ya kawaida ya biashara Eneo linalozidi Mita za Mraba 200, kwa kila Mita ya Mraba inayozidi Tshs. 400 /=

3 Nyumba za Gorofa za makazi (Multi Storey Residential)

i Gorofa ya kuishi Eneo lisilozidi Mita za Mraba 100 Tshs. 60,000 /=

ii Gorofa ya kuishi Mita za Mraba kati ya100 mpaka 150 Tshs. 90,000 /=

iii Gorofa ya kuishi Mita za Mraba kati 150 mpaka 200 Tshs. 120,000 /=

iv Gorofa ya kuishi Eneo linalozidi Mita za Mraba200, kwa kila Mita ya Mraba inayozidi Tshs. 600 /=

5 Nyumba za Gorofa za Biashara (Multi Storey Commercial)

i Gorofa ya biashara Eneo lisilozidi Mita za Mraba 100 Tshs. 80,000 /=

ii Gorofa ya biashara Mita za Mraba kati ya100 mpaka 150 Tshs. 120,000 /=

iii Gorofa ya biashara Mita za Mraba kati 150 mpaka 200 Tshs. 160,000 /=

iv Gorofa ya biashara Eneo linalozidi Mita za Mraba 200, kwa kila Mita ya Mraba inayozidi Tshs .800 /=

6 Nyumba za Ibada (Worshiping Houses:) Tshs. 25,000 /=

7 Nyumba za Maghala (Ware House)

i Ghala Eneo lisilozidi Mita za Mraba 150 Tshs. 60,000 /=

ii Ghala Mita za Mraba kati ya150 mpaka 200 Tshs. 90,000 /=

iii Ghala Mita za Mraba kati 200 mpaka 300 Tshs. 120,000 /=

iv Ghala Eneo linalozidi Mita za Mraba 300, atalipia kwa kila Mita ya Mraba inayozidi Tshs. 600 /=

8 Jengo la shule (Single Storey School) isiyokuwa gorofa Tshs. 100,000 - Tshs. 200,000

9 Jengo la shule lenye gorofa (Multi Storey School)

Gorofa zaidi ya Mita 100 (upper floor more than 100 meters) Tshs. 200,000 /=