pspf 2014 presentation kassim hussein
Post on 20-Jan-2017
89 Views
Preview:
TRANSCRIPT
> > > > > > > > Utawala Bora wa Mifuko ya
Hifadhi, Yahusuyo Ukuaji na Uelekeo wa Kukidhi haja ya
hifadhi Kassim Husssein, PhD
kassimhussein2002@yahoo.com 0754360174
Madhumui
v Muktadha wa utawala bora
v Ukuwaji na yahusuyo
v Changamoto ya Kukidhi haja ya hifadhi
v Maeneo ya kipaumbele
v Majumuisho
Utawala Bora wa
Taasisi
• The OECD -unahusu mahusiano kati menejimenti, bodi na wadau….. Inaweka utaratibu wa kupanga malengo, namna ya kuyafikia na njia kuyafuatilia na kutathmini ufanisi wa menejmenti katika kuyafikia
Uhusiano
Wa muda mrefu • Udhibiti • V i v u t i o n a marupurupu • Mawasilaino kati ya ya wanedhejai na wadau
Miamala • Uwazi • Utoaji
taarifa • mamlaka.
Hali ya mifuko
• Imekidhi haja ya awali • Imeendeshwa katika misingi
mizuri ya utawala.. Uhusiano unaridhisha
• Haja ya wadau… ubora wa mafao?
• Upanuzi wa wigo?
11 | 6
Kukuwa kwa wanachama…
michango
0
1
2
3
4
5
6
7
8
9
2006 2007 2008 2009 2010 2011 2012
Figure 2: Contribution/membership Growth
Con/membership
Utawala bora wa
Mfuko
Thamani ya mifuko
Michango
inapowekwezwa
kukuwa kwa
idadi
Sensa ya 2012 • Idadi ya wa TZ.. Million 45 • Kiasi 27 wana uwezo wa
kuchangia • Kiasi cha million 25 wako
katika sekta inayo jiajiri au isiyo rasmi
Kuhusu utawala
• Idadi ya watu duniani inakuwa na inaongeza wanaohitaji hifadhi
Kuhusu utawala
• Uwezo wa kukidhi mahitaji unalingana na maendeleio ua kiuchumi
• Maendeleo huchangia hifadhi, pia hifadhi huchangia maendeleo
Tanzania
INFORMAL 93.5%
PRIVATE (insiginificant)
FORMAL 6.5%
FIGURE 1: EMPLOYMENT SECTOR
THE SIX SSR
11 | 15
Hifadhi
• Udugu wa kifamilia…. Inafifia – Uwezo mdogo
• Mfuko wa Majanga… hauna fedha • Uwezo wa Serikali katika maafa ni
endelevu? • Uwiano siyo sawaia : Ukuwaji wa idadi;
ukuwaji wa ajira; ukuwaji wa sekata isiyo rasmi
• Ukuwaji wa wanachama katika mifuko ya hifadhi
11 | 16
• Mahitaji ya wadau ni kuingia kwenye hifadhi
• Wadau ni pamoja na walio nje ya mfuko… serikali na jamii kwa ujumla
• Wadau wamepanua uwigo
Ukuwaji ni suala la
utawala bora?
11 | 17
Mkakati wa nyanja
mbili
• Pendekezo 202 • Ghorofa za hifadhi za msingi .
Mkakati wa upana…. Kuongeza watu
• Kupanda ghorofa ya juu… kuongeza kina kwa kuongeza aina na ubora wa mafao
Ulimwenguni…
ghorofa mbalimabli
Idadi iongezwe !!
• Mikakati ya kufikia sekata iliyojiajiri… sekata isyo rasmi.
• Changamoto za kuifikia kwa mfumo wa sasa
• Mikakati ya kuifikia sekta iliyojiajiri, wakulima na wote wanaojumuishwa kuwa si rasmi
Masuala ya jinsia
• Katika hifadhi ushiriki wa wanawake
• Kuengiliwa katika ajira rasmi • Kuwafikia katika ajira binafsi
Wazee
• Ni wachache… zaidi wako vijijini
• Gharama yao sio kubwa… • Kumudu Social pension kwa
kundi hili?
Jumuisho
• Mifuko imefanya vizuri kwa wale walio katika ajira
• Kumekuwa na kutoridhika na ubora wa mafao
Jumuisho
• Utawala bora wa kuridhisha • Changamoto ni kuongeza idadi
nje ya waajiriwa • Idaidi ya waajiriwa haiongezeki
kulingana na ongezeko la idadi ya wanostahiki
Jumuisho
• Uwezo wa Mfuko wa majanga.. Uwezo wake kuhusu hifadhi.
• Kilio juu ya wanawake • Kadhia ya wazee na uwezi wa
kuwapa pension …. Tunaweza kuimudu?
top related